Como se fala "at all" em suaíli

EN

"at all" em suaíli

EN at all
volume_up

at all (também: -ever)

Sinônimos (inglês) para "at all":

at all

Traduções parecidas para at all em Suaíli

all substantivo
Swahili
all adjetivo
Swahili
all
Swahili

Exemplos de uso para "at all" em suaíli

Essas frases provêm de fontes externas e podem ser imprecisas. bab.la não é responsável por esse conteúdo. Mais informações aqui.

EnglishThey cached all the oil; they got all the money; but health cannot be bought at the supermarket.
Walivuna mafuta yote, walipata pesa zote, lakini afya haiwezi kununuliwa dukani.
EnglishBut the climate crisis is the rare but all-important global, or strategic, conflict.
Lakini matatizo ya hali ya hewa ni adimu lakini ni miongoni mwa migongano muhimu ya ulimwengu au kimkakati.
EnglishThis is all U.N. statistics that have been available.
Hizi zote ni takwimu za Umoja wa Mataifa ambazo zinapatikana.
English40 percent of all the people in the world get half of their drinking water from that melting flow.
Asilimia 40 ya watu wote duniani wanapata nusu ya maji ya kunywa kutokana na kuyeyuka kunakotoa mtiririko huo.
EnglishThe disinvestment that began in the 1960s set the stage for all the environmental injustices that were to come.
Kutokuwekeza kulikoanza miaka ya 1960 ndio kulikuwa msingi wa uharibifu wa mazingira ambao umekuja.
EnglishThis is gasoline consumption in all of these countries.
Haya ni matumizi ya petroli katika nchi zote hizi.
EnglishAll of those photos become linked together, and they make something emergent that's greater than the sum of the parts.
Picha zote zinaunganishwa pamoja, na zinafanya kitu kutokea ambacho ni kubwa zaidi ya jumla ya sehemu ndogondogo.
EnglishHow many generations in all of human history have had the opportunity to rise to a challenge that is worthy of our best efforts?
Ni vizazi vingapi katika historia ya mwanadamu wamekuwa na fursa ya kupambana na changamoto lenye kuhitaji juhudi zetu kubwa?
EnglishBut there are people all the way.
EnglishNow, of all the peoples that I've ever been with, the most extraordinary are the Kogi of the Sierra Nevada de Santa Marta in northern Colombia.
Na sasa, katika watu wote niliowahi kuishi nao, wa ajabu zaidi ni Wakogi wa Sierra Nevada ya Santa Marta kaskazini mwa Colombia.
EnglishAll of these peoples teach us that there are other ways of being, other ways of thinking, other ways of orienting yourself in the Earth.
Watu wote hawa wanatufundisha kwamba kuna namna nyingine za kuwa, namna tofauti za kufikiria namna mbalimbali za kujiwekeza katika Dunia.
EnglishSo we've got a much more mainstream appearance of the world, where all countries tend to use their money better than they used in the past.
Kwa hiyo tumepata muelekeo wa ulimwengu, ambapo nchi zote zinatabia ya kutumia pesa zao vizuri zaidi ya walivyokuwa wakitumia huko nyuma.
EnglishDevelopments that have the potential to create positive returns for all concerned: the developers, government and the community where these projects go up.
Maendeleo ambayo yanaweza kuleta matokeo chanya kwa wahusika wote: waendelezaji, serikali na jumuia ambayo miradi hii inapelekwa.
EnglishBecause if we can get the 20 billion dollars sitting out there back, it may be far more for some of these countries than all the aid that is being put together.
Kama tutaweza kurudisha dola bilioni 20 ambazo ziko nje, litakuwa jambo zuri sana kwa baadhi ya nchi hizi kuliko misaada yote ikiwekwa pamoja.
EnglishOur exchange rate that used to fluctuate all the time is now fairly stable and being managed so that business people have a predictability of prices in the economy.
Thamani ya fedha yetu ilikuwa ikibadilika kila mara kwa sasa ipo angalau imara na kusimamiwa, ili wafanyabiashara wawe na uhakika wa bei katika uchumi.
EnglishThis tribe, the Cofan, has 17 varieties of ayahuasca, all of which they distinguish a great distance in the forest, all of which are referable to our eye as one species.
Kabila hili la Cofan wana aina 17 za ayahuasca, na wanaweza kuitofautisha kutoka mbali huko msituni, na zote hizi kwetu sisi zinaonekana kuwa sawa.
EnglishWe have the opportunity now to bring together all the stakeholders to re-envision how this 28 acres can be better utilized for parkland, affordable housing and local economic development.
Tuna fursa sasa ya kuwaunganisha wadau wote katika kufikiria hizi ekari 28 zinaweza kutumikaje vizuri kwa ajili ya Parkland, nyumba za bei nafuu na maendeleo ya uchumi.
EnglishThese countries are lifting more than the economy and will be very interesting to follow this over the year, as I would like you to be able to do with all the publicly funded data.
Au sio? Nchi hizi zinanyanyuka zaidi ya uchumi na itakuwa ni ya kufurahisha kufuatilia hii kwa miaka ijayo, na kama ambavyo ningependa muweze kufanya kwa kutumia takwimu zilizogharamiwa na umma.